Watch Video: Willy Paul ft Siz 8 – Tiga Wan

0

Hapa ndo unapata kila aina ya burudani na masuala ya muziki yapotokea.

Willy Paul Msafi na Size 8 Reborn

Baada ya Willy Paul kushirikisha mwimbaji mwenzake wa gospo Siz 8 aka Namba Nane kwa mara nyingine, nimekusogezea link ya wimbo huo moto kweli. Unaitwa ‘ Tiga Wana’  ili uweze kuenjoy na kusambaza pia.

Willy Pozee na Namba Nane

Willy pozee baada ya kutwa tuzo

Fahamu pia Jumapili ya jana tarehe 20/ 11/2016 msanii Willy Pozee ametwaa tuzo kwenye tamasha la kutuza wasanij wa injili Kenya maarufu kama Mwafaka Awards 2016 kwenye kitengo cha Best Collabo of the year- ‘Sijafika’ na pia msanii bora wa mwaka.
Fuata link hii hapa chini upate uhondo.

WILLY PAUL MSAFI FT SIZE 8 TIGA WANA LEAKED:

Wasiliana nasi kupitia hapa:


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.