Mmmh! Yee h eh
Ooooh woo oo!
sidanganyi naempenda ni weweee
hakuna mwingine kama si wewe eeee oooh
aah mi skwachi uende uende uende
natama upende upende upende
usiningebe ooooo
uzuri wajiuza siitaji mnada
utamu ni sukari au nyuki hio hio hio
sijapiga moyo kondeee
wala kata tamaaaa
gereza la mapenzi sijafungwa kwa pingu
sijapiga moyo kondeee
wala kata tamaaaa
kidonda cha mapenzi
moyoni kijaponaa
aaah!
Si useme tu
usiwe mmbaya
si useme
yalo moyoni
mimi mamhaa
sina ubaya
si useme tuu *2
mmmh
ohoo
umh lalaaa
Ooooh woo oo!
sidanganyi naempenda ni weweee
hakuna mwingine kama si wewe eeee oooh
aah mi skwachi uende uende uende
natama upende upende upende
usiningebe ooooo
uzuri wajiuza siitaji mnada
utamu ni sukari au nyuki hio hio hio
sijapiga moyo kondeee
wala kata tamaaaa
gereza la mapenzi sijafungwa kwa pingu
sijapiga moyo kondeee
wala kata tamaaaa
kidonda cha mapenzi
moyoni kijaponaa
aaah!
Si useme tu
usiwe mmbaya
si useme
yalo moyoni
mimi mamhaa
sina ubaya
si useme tuu *2
mmmh
ohoo
umh lalaaa
afadhali pepo naemjuaa
kuliko malaika somjua
nawashwa ndani naunguwa
kuhisi magendo naibiwa
najiweka hamu kwako
niridhike na ladha yakoo
ikule kwako
ilale kwako
niishi na weewe
ah
nataka uwe nguzo
nguzooo~
nguzo ya ngome yangu
ngomeee~
ngome ya penzi langu uuuuh! Aa
Huwezi kufuru mapenzi
ikibidi moyo utaumia
ni bora useme ukweli
la sivo utaliaaah
yanachoma mooyo
ningekupa mudah
unataka chansi
hiyo hiyo
sijapiga moyo kondeée
wala kata tamaaa
kidonda cha mapenzii
moyoni kitapona
siupige moyo kompeee
wakutekeée
uniacheee
uende


Please do not enter any spam link in comment box